Daniel 12:11-12

11 a“Tangu wakati ule wa kukomeshwa dhabihu ya kila siku na kusimamishwa kwa chukizo la uharibifu, kutakuwako siku 1,290. 12 bAmebarikiwa mtu yule atakayevumilia hadi kufikia mwisho wa hizo siku 1,335.

Copyright information for SwhNEN